Tuesday, 10 September 2013

Sunday, 18 August 2013

Picha: siku ya arobaini ya mama Nick tar: 16/08

 Ndugu wa marehemu mama Nick
 ABC na BBC wakipatana kwa upendo kabisa baada ya kulumbana kwa mambo ya kifamilia
 Mama Junior (mke wa ABC) wakipatanishwa na BBC baada ya mtafaruku kidogo

BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YA KANISANI SIKU YA KWENDA KUWEKA MSALABA KWENYE KABURI LA MAMA NICK

 Filomena (mtoto wa mwisho wa mama Nick)
 Vanessa (mtoto wa mama Nick)
Mhuma akionesha majonzi kwenye kaburi la Mama Nick
 Ben na kaka wa marehemu mama Nick wakiweka mshumaa kwenye kaburi
 Mdogo wake marehem mama Nick
 Filomena (mtoto wa mwisho wa marehemu mama Nick)
akiwa kwenye kaburi la mama yake
Yatupasa kushukuru kwa kila jambo ambalo linapangwa na Mungu, hivyo basi hatuna namna yeyote ile zaidi ya kumshukuru Mungu na kuweza kumtakia makazi mema ndugu yetu, rafiki yetu na pia kipenzi chetu Mama Nick kwani bwana ametoa na bwana ametwaa. Ameen!!