Taarifa Muhimu

Hapa utapata taarifa zote zinazohusu familia hii kwa kujua ni tukio gani linakuja au limepangwa kufanyika kwenye familia hii

Tunashukuru arobaini ya marehemu mama Nick tumeimaliza salama na pia tunatoa shukrani zenu za pekee kwa wanafamilia wote mlioweza kufika na wale mlioshindwa kwa majukumu au mambo ambayo yapo juu ya uwezo wenu. 

Ila tunapenda kuwakumbusha kuhusu michango ya kila mwezi kwa wanafamilia wote

Tarehe: 16 August, 2013
Kutakuwa na 40 ya marehem mama Nick, Mke wa Barnaba(BBC), hivyo ukiwa kama mwanafamilia wa familia hii unaombwa uwajibike kwa namna yoyote ile ili kufanikisha hilo.

Asante!!





No comments:

Post a Comment