



Ujenzi wa kaburi ulivyokuwa, tunashukuru tulimaliza salama chini
ya usimamizi wa mjomba wa marehemu, BBC,
baba mdogo wa marehemu, Sudy na mdogo wa marehemu Mussa
bila kumsahau mama mzazi wa marehemu, SBC
HII NI SIKU YA MAPALAANGO (SIKU YA 40)
Siku hii ndugu na jamaa wote wa familia hii tulijumuika nyumbani kwa mama wa marehemu (SBC) kisha asubuhi tukajihimu kwenda makaburini kuangalia alipolala ndugu yetu kipenzi chetu, Athuman na kisha tukarudi nyumbani na kuendelea na taratibu zingine





















No comments:
Post a Comment